Kuhusu Sisi

Sisi ni Akina Nani

HowToUse ni jumuiya inayoendeshwa kwenye mtandao na watu wanaoamini kwamba wanawake wote, bila kujali wanakoishi, wana haki ya chaguo salama za kuavya mimba

Kuhusu Sisi

Sisi ni Akina Nani

HowToUse ni jumuiya inayoendeshwa kwenye mtandao na watu wanaoamini kwamba wanawake wote, bila kujali wanakoishi, wana haki ya chaguo salama za kuavya mimba

Tunachofanya

HowToUse Sisi( HowToUse) hufanya kazi kwa kutoa habari za kuaminika na raslimali tofauti zinazohusu jinsi ta kutumia tembe za kuavya mimba. Habari hizi ni; cha kuzingatia kabla, ambako zinazopatikana tembe za kuavya mimba za hali ya juu, jinsi adilifu na salama ya kutumia tembe, cha kutarajia, na wakati wa kutafuta msaada wa matibabu inapobidi. Tuko hapa kuwapa wanawake habari wanayohitaji ili kuweza kutimiza uavyaji wa mimba kwa masharti yao wenyewe

Tunakopatikana

HowToUse ni shirika la kimataifa; tuko hapa kutoa habari na raslimali kwa wanawake kote ulimwenguni. Kwa sasa tuko na tuvuti inayo tafsiri habari zetu kwa lugha 30. Je unahitaji lugha ambayo hatujazingatia? wasiliana nasi info@howtouseabortionpill.org

Katao:

Kila jitihada inafanyika kuhakikisha taarifa zilizomo kwenye kurasa za tovuti hii ni sahihi. Hata hivyo maelezo yanaweza kubadilika mara kwa mara na waandishi hawatakubali dhima kwa ajili ya uhakika wa taarifa zinazotolewa wakati wowote.

Marejeo

Masharti ya huduma

Kwa ujumla

Kwa kutumia Huduma, unakubali Sheria na Masharti yote kutumika kama tunavyoweza kusasishwa mara kwa mara. Unapaswa kusoma ukurasa huu mara kwa mara ili ujue mabadiliko yoyote ambayo tunaweza kuwa tumefanya kulingana Masharti ya Huduma.

Tuna haki ya kuondoa au kurekebisha Huduma bila taarifa. Haitakuwa makosa yetu ikiwa kwa sababu yoyote, Tovuti hii haipatikani wakati wowote na kwa muda wote. Mara kwa mara, tunaweza kuzuia ufikiaji wake kwa sehemu zingine za Tovuti hii au kwa Tovuti yote.

Tovuti hii inaweza kuwa na viunganisho kuelekea tovuti zingine ("Tovuti Zilizounganishwa"), ambazo hazitumiwi na www.howtouseabortpill.org. Tovuti hii haina udhibiti wa Tovuti zilizounganishwa na haikubali jukumu lolote kwao au kwa upotezaji wowote au uharibifu unaoweza kutokea kutokana na matumizi yako. Matumizi yako ya Tovuti zilizounganishwa zitategemea masharti ya matumizi na huduma iliyomo ndani ya kila tovuti kama hiyo.

Sera Kuhusu Faragha

Sera yetu kuhusu faragha ambayo inaelezea jinsi tutatumia habari kukuhusu, inaweza kupatikana katika www.howtouseabortionpill.org/#privacy-policy. Kwa kutumia Tovuti hii, unakubali mfumo ulioelezewa ndani na unathibitisha kuwa data yote uliyotupa ni sahihi.

Makatazo

Haupaswi kutumia Tovuti hii vibaya. Hautaweza: kufanya au kuhimiza kosa la jinai; kupitisha au kusambaza virusi, trojan, minyoo, bomu ya mantiki au nyenzo nyingine yoyote ambayo ni mbaya, yenye madhara katika teknolojia, kwa kukiuka uhakika au kwa njia yoyote ya kukera au ya kuchukiza; kuingilia mawasiliano katika nyanja yoyote ya Huduma; data mbovu; kusababisha kero kwa watumiaji wengine; kukiuka haki za umiliki wa mtu mwingine yeyote; kutuma matangazo yoyote yasiyotakikana au nyenzo za uchochezi ambazo hujulikana kama "jumbe za kero"; au kujaribu kuathiri utendaji wa vifaa vyovyote vinvyohusiana na tarakilishi au kupatikana kupitia Tovuti hii."

Kuvunja kifungu hiki itakuwa kosa na www.howtouseabortionpill.org itatoa ripoti kuhusu ukiukaji wowote kwa mamlaka husika za utekelezaji wa sheria na kukutambulisha kwa mamlaka hizo.

Halitakuwa kosa letu kwa upotezaji wowote au uharibifu unaosababishwa na shambulio la kukana huduma, virusi au vifaa vingine vyenye teknolojia ambavyo vinaweza kuambukiza vifaa vyako vya tarakilishi, programu za tarakilishi, data au vifaa vingine vyenye umiliki kwa sababu ya matumizi yako ya Tovuti hii, unapopakua nyenzo yoyote iliyochapishwa juu yake, au kwenye Tovuti yoyote iliyounganishwa na hii.

Mali za kitaaluma, Programu na Yaliyomo

Haki miliki zilizomo katika programu zote na yaliyomo (hii ikiwa ni pamoja na picha) ambayo yanapatikana kupitia Tovuti hii bado ni mali ya www.howtouseabortpill.org au watoa leseni zake na inalindwa na sheria na mikataba ya hakimiliki ulimwenguni kote. Haki zote hizo zimehifadhiwa na www.howtouseabortpill.org na watoa leseni zake. Unaweza kuhifadhi, kuchapisha na kuonyesha yaliyomo tu kwa matumizi yako ya kibinafsi. Hauruhusiwi kuchapisha, kuendesha, kusambaza au kutoa kwa muundo wowote, yaliyomo au nakala za yaliyomo uliyopewa au ambayo yanaonekana kwenye Tovuti hii wala huwezi kutumia mambo yoyote yaliyomo kuhusiana na biashara yoyote au kibiashara.

Kanusho la Dhima

Mambo yote yaliyomo na nyenzo zinazotolewa kwenye Tovuti zimekusudiwa kutoa habari ya jumla, majadiliano ya jumla, na elimu tu. Mambo yaliyomo hutolewa "kama ilivyo," na matumizi yako au kutegemea kutumia vifaa kama hivyo ni hatari kwako mwenyewe.

Kwa hali yoyote, www.howtouseabortpill.org itawajibika kwa upotezaji au uharibifu wowote, pamoja na jeraha la kibinafsi linalotokana na yale yaliyomo kwenye Tovuti au mwingiliano wowote kati ya watumiaji wa Tovuti, iwe ni mtandaoni au nje ya mtandao.

Kuunganisha na Tovuti hii

Unaweza kuunganisha na ukurasa wetu wa mwanzo ikiwa utafanya hivyo kwa njia ya haki na ya kisheria na isiyoharibu sifa yetu au kufaidika kutokana nayo, lakini haupaswi kuanzisha kiungishi kwa njia ya kupendekeza fomu yoyote ya ushirika, idhini au egemeo kwa upande wetu ambapo hakuna. Haupaswi kuanzisha kiunganishi kutoka kwa Tovuti yoyote ambayo hauyimiliki. Tovuti hii haipaswi kuunganishwa na tovuti nyingine yoyote, na wala hauwezi kuunda kiunganishi kwa sehemu yoyote ya Tovuti hii isipokuwa ukurasa wa mwanzo. Tuna haki ya kuondoa ruhusa ya kuunganisha bila taarifa yoyote.

Kanusho kuhusu umiliki wa alama za biashara, picha za haiba na hakimiliki ya mtu mwingine

Isipokuwa pale ambapo imeelezwa waziwazi, lakini watu wote (ikiwa ni pamoja na majina na picha zao), alama za biashara za mtu wa tatu na yaliyomo, huduma na / au maeneo yaliyoonyeshwa kwenye Tovuti hayahusiani, kuunganishwa au kushirikishwa na www.howtouseabortpill.org. na haupaswi kutegemea uwepo wa unganisho au ushirika kama huo. Alama za biashara au majina yoyote yaliyoonyeshwa kwenye Tovuti hii yanamilikiwa na wamiliki wa alama za biashara husika. Ambapo alama ya biashara au jina la chapa limetajwa hutumika tu kuelezea au kutambua bidhaa na huduma na sio kusisitiza kwamba bidhaa au huduma hizo zinaidhinishwa na au zina uhusiano na www.howtouseabortpill.org.

Fidia

Unakubali kutoa fidia, kutetea na kutokubali kuharibiwa kwa www.howtouseabortpill.org, wakurugenzi wake, maafisa, wafanyikazi, washauri, mawakala, na washirika, kutoka kwa madai yoyote ya mtu mwingine, dhima, uharibifu na / au gharama (pamoja na ada ya kisheria) inayotokana na utumiaji wako wa Tovuti hii au ukiukaji wako wa Sheria na Masharti.

Mabadiliko

Wakati wowote na kwa hiari yake, www.howtouseabortpill.org itakuwa na haki na bila taarifa ya kurekebisha, kuondoa au kutofautisha Huduma na / au ukurasa wowote wa Tovuti hii.

Ubatilifu

Ikiwa sehemu yoyote ya Sheria na Masharti haiwezi kutekelezeka (pamoja na kifungu chochote ambamo hakuna dhima yetu kwako) utekelezaji wa sehemu nyingine yoyote ya Masharti ya Huduma haitaathiriwa. Vifungu vingine vyote vinabaki vikitumika kikamilifu. Kwa kadri inavyowezekana ambapo kifungu chochote / kifungu kidogo au sehemu ya kifungu / kifungu kidogo kinaweza kuwekwa kando na kuacha sehemu iliyobaki kuwa halali na kifungu hicho kitatafsiriwa ipasavyo. Vinginevyo, unakubali kwamba kifungu hicho kitarekebishwa na kutafsiriwa kwa njia ambayo inafanana kabisa na maana asili ya kifungu / kifungu kidogo kama inavyoruhusiwa kisheria.

Malalamiko

Tunatumia utaratibu wa kushughulikia malalamiko ambayo tuyatatumia kujaribu kutatua mizozo wakati inapoibuka kwanza, tafadhali tujulishe ikiwa una malalamiko au maoni yoyote.

Msamaha

Kama utakiuka masharti haya na hatuchukui hatua yoyote, bado tunastahili kutumia haki zetu na suluhu katika hali nyingine yoyote ambapo unakiuka masharti haya.

Mkataba Mzima

Masharti ya Huduma yaliopo hapo juu yanajumuisha makubaliano yote ya wahusika na yanachukubali makubaliano yoyote yaliyotangulia na ya wakati wote kati yako na www.howtouseabortpill.org. Msamaha wowote unaohusiana na kifungu chochote cha Masharti ya Huduma utafanya kazi tu ikiwa kwa maandishi na kutiwa saini na Mkurugenzi wa www.howtouseabortpill.org.

Sera Kuhusu Faragha

Mandharinyuma:

www.howtouseabortionpill.org inaelewa na kuthamini faragha ya kila mtu anayetembelea Tovuti yetu na atakusanya tu na kutumia habari kwa njia ambazo zinafaa kwake na kwa njia inayopelekana na haki zake na majukumu yetu. Hii ni kulingana na sheria.

Sera hii inatumika kwa data yoyote na tunayokusanya kuhusiana na utumiaji wako wa Tovuti yetu. Tafadhali soma Sera hii inayohusu Faragha kwa uangalifu na uhakikishe kuwa unaielewa. Kukubali kwako Sera yetu kuhusu Faragha kunachukuliwa kuwa kutokea wakati wa matumizi yako ya kwanza ya Tovuti yetu. Ikiwa haukubali na kukubaliana na Sera hii kuhusu Faragha, lazima uache kutumia Tovuti yetu mara moja.

Sera hii inashughulikia

Sera hii inayohusu Faragha inatumika tu kwa matumizi yako ya Tovuti yetu. Haitumiki kwa Tovuti zozote ambazo zimeunganishwa na Tovuti Yetu (hata kama tunaonyesha viunganishi hivyo au ikiwa vinashirikisha watumiaji wengine). Hatuna udhibiti wa jinsi data yako inavyokusanywa, kuhifadhiwa au kutumiwa na Tovuti zingine na tunakushauri uangalie sera zinazohusu faragha za tovuti kama hizo kabla ya kuwapa data yoyote.

Data Tunazokusanya

Data zako za jumla zitakusanywa kiatomati na Tovuti yetu. Data ya jumla iliyotajwa hapo chini ni data ambayo inaweza kukusanywa faraghani na kiatomati

 1. Anwani ya IP (Itifaki ya Tovuti) na mahali
 2. aina ya kivinjari cha mtandao na mfumo wa uendeshaji wa tafsiri
 3. orodha ya URL zinazoanza na Tovuti inayorejelea, shughuli zako kwenye Tovuti yetu

Hatukusanyi data yoyote inayotambulika ya kibinafsi na katika siku zijazo ikiwa tunakusudia kukusanya hiyo, basi tutakubaliana kwanza na watumiaji kwa hiari

Tunatumiaje Data yako?

 1. Data zote zinahifadhiwa kwa usalama kulingana na Kanuni za Umoja wa Ulaya zinayohusu Ulinzi wa Data ya Jumla (GDPR). Tunatumia data yako ili kutoa huduma bora kwako. Hii ikiwa ni pamoja na
  1. A.1. Kutoa na kudhibiti ufikiaji wako wa Tovuti yetu
  2. A.2. Kubinafsisha na kukurahisishia uzoefu wa kutumia Tovuti yetu
  3. A.3. Kuchambua matumizi yako ya Tovuti Yetu [na kukusanya maoni] ili kutuwezesha kuendelea kuboresha Tovuti yetu na uzoefu wako kama mtumiaji.
 2. Wakati mwingine, ukusanyaji wa data unaweza kuwa mahitaji ya kisheria au mkataba.
 3. Tutachukua hatua zote za busara kuhakikisha kwamba tunalinda haki zako kikamilifu na tunatekeleza majukumu yetu kufuatana na sera za GDPR na sheria zingine zinazohusika.

Je! Tunahifadhi data zako vipi na wapi?

 1. Kulingana na hayo, tunahifadhi data ya jumla ila tu mtumiaji aombe tuifute. Kwa hali yoyote, tutafanya ukaguzi wa kila mwaka ili kubaini ikiwa tunahitaji kuhifadhi data yako. Ikiwa hatuihitaji data yako tena, tutaifuta kulingana na sheria na sera zetu.
 2. Baadhi ya data zako au zote zinaweza kuhifadhiwa au kuhamishiwa nje ya Eneo la Uchumi la Ulaya ("EEA") (EEA ina nchi zote wanachama wa EU(Umoja wa Ulaya) pamoja na Norway, Iceland na Liechtenstein). Unaonekana kufaa kukubali na kukubaliana na haya kwa kutumia Tovuti yetu na kutuma habari kwetu. Ikiwa tutahifadhi au kuhamisha data nje ya EEA, tutachukua hatua zote zinazofaa kuhakikisha kuwa data yako inatibiwa kwa salama kama inavyokuwa katika nchi za EEA na chini ya GDPR. Hatua kama hizo zinaweza kujumuisha matumizi ya masharti ya kisheria ya mkataba kati yetu na mtu yeyote wa tatu ambaye tunamhusisha. Ulinzi uliotumika ni kama:
  1. B.1. Data zinahamishwa kwa usalama kupitia itifaki iliyolindwa na SSL,
  2. B.2. Data zinahifadhiwa kwa usalama katika Seva za Heroku zilizolindwa ambazo ziko Amerika.
 3. Pamoja na hatua za kiusalama tunazozichukua, ni muhimu kukumbuka kuwa usafirishaji wa data kupitia Tovuti hauwezi kuwa salama kabisa na kwamba unashauriwa kuchukua tahadhari zinazofaa unapotutumia data kupitia mtandao.

Je! Tunashiriki data zako?

 1. Tunaweza kushiriki data yako na shirika letu tanzu na matawi yake.
 2. Tunaweza kuingia katika mkataba na watu wengine ili kukupa huduma bora. Haya yanaweza kujumuisha vifaa vya mifereji ya utaftaji, uchambuzi wa Google, matangazo na uuzaji. Wahati mwingine, watu wengine wanaweza kuhitaji ufikiaji wa data zingine au zote. Pale ambapo data yako yoyote inahitajika kwa kusudi kama hilo, tunaombaa kwanza idhini kutoka kwako na kuchukua hatua zote zinazofaa ili kuhakikisha kwamba data yako itashughulikiwa kwa usalama na kwa mujibu wa haki zako, majukumu yetu, na majukumu ya watu wengine kulingana na sheria. Kwa sasa tunaingia tukitumia:
  Jina la kikundi Kusudi Data zilizoonyeshwa
  Takwimu za Google Pata takwimu kuhusu athari na jamii Google ina ukurasa wake kwa maelezo hayo: https://support.google.com/analytics/answer/6318039?hl=en
 3. Tunaweza kukusanya takwimu kuhusu matumizi ya Tovuti yetu pamoja na data juu ya trafiki, mifumo ya matumizi na habari zingine. Mara kwa mara, tunaweza kushiriki data kama hii na watu wengine. Data zitapewa tu na kutumika ndani ya mipaka ya sheria.
 4. Katika hali fulani, tunaweza kuhitajika kisheria kushiriki data fulani tunazokiliwa ambayo zinaweza kujumuisha data ya jumla. Mfano ni katika hali ambapo tunahusika katika mashauri ya kisheria, ambapo tunatekeleza mahitaji ya sheria, amri ya mahakama, au mamlaka ya kiserikali. Hatuhitaji idhini yoyote zaidi kutoka kwako ili kushiriki data yako katika hali kama hizo na tutateleza majukumu kama inavyotakiwa na ombi lolote la kisheria.

Usalama

Tunatumia taratibu na michakato sahihi ya kiufundi na usalama ili kulinda siri za habari za watumiaji. Wafanyakazi wetu, mawakala na washirika hufanya kila kitu kwa udhibiti wao mzuri ili kulinda habari zako.

Katika ka eneo letu, ufikiaji wa habari za watumiaji wote umezuiliwa kwa wale ambao wanahitaji ufikiaji ili kutimiza majukumu yao ya kazi na kunao makubaliano ya kuhifadhi siri.

Haki ya Kuhifadhi na Kuondoa Habari

Kutumia huduma zote na uendeshaji unaopatikana kwenye Tovuti yetu kunaweza kuhitajika kuwasilisha au kuruhusu ukusanyaji wa data fulani.

Unawezaje Kufikia Data Yako?

Una haki ya kisheria kuomba nakala ya data yako ya kibinafsi tunayoshikiliya. Tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kwa kutumia anuani hii: privacy@howtouseabortionpill.org

Je! Tunatumia Vidakuzi?

"Vidakuzi" ni vipande vidogo vya habari vilivyowekwa na Tovuti kwenye kifaa kuhifadhi habari katika tarakilishi lako. Vidakuzi havikusanyi habari yoyote nyeti ya kibinafsi kutoka kwako. Tunatumia kidakuzi kuchambua data kuhusu trafiki yetu ya ukurasa wa Tovuti ambayo inatusaidia kuokoa mapendeleo yako kwa ziara zako za baadaye. Hii inatuwezesha kubadilisha tovuti yetu kulingana na masilahi yako, ambayo itatuwezesha kutoa huduma za kibinafsi zaidi kwa wateja wetu. Unaweza kuchagua kukubali au kukataa vidakuzi Tafadhali fahamu kwamba kwa kukata vidakuzi kunaweza kukufanya ukose kutumia tovuti kikamilifu.

Tovuti yetu hutumia uchanganuzi wa Google, Piwik na Vimeo wakati inapokusanya na kuchambua takwimu za utumiaji na kutuwezesha kuelewa vizuri jinsi watu hutumia Tovuti yetu. Matumizi yetu hayatakuweka katika hatari yeyote kifaragha au matumizi yako kiusalama ukituma Tovuti yetu. Hayatuwezeshi kuendelea kuboresha Tovuti yetu na kuifanya iwe na uzoefu bora na muhimu kwako.

Tovuti Zilizounganishwa

Tovuti hii inaweza kuwa na viunganishi kwa tovuti zingine. Tafadhali fahamu kuwa hatuwajibiki kwa mazoea ya faragha ya Tovuti zingine. Tunahimiza watumiaji kujua wakati wanapoondoka kutoka Tovuti hii wawe wanasoma taarifa kuhusu faragha za kila Tovuti wanazotembelea. Wakati tunachagua kwa uangalifu tovuti zilizounganishwa, Ilani hii inayohusu Faragha inatumika tu kwa habari zilizokusanywa kwenye Tovuti yetu wenyewe.

Third party services

We have engaged with Jio Haptik Technologies Limited for providing chatbot services on our website. You can read their privacy policy by clicking on https://haptik.ai/privacy-policy/

Kuwasiliana Nasi

Ikiwa una maswali yoyote kuhusu Tovuti yetu au Sera hii kuhusu Faragha, tafadhali wasiliana nasi ukitumia barua pepe kwa: privacy@howtouseabortionpill.org

Tafadhali hakikisha umeweka swali lako wazi, haswa ikiwa ni ombi la habari kuhusu data tunayohifadhi kukuhusu.

Mabadiliko ya Sera yetu kuhusu Faragha

Tunaweza kubadilisha mara kwa mara Sera hii ya Faragha kama tunavyoweza wakati tunapoona ni muhimu, au vile inavyotakiwa na sheria. Mabadiliko yoyote yatachapishwa mara moja kwenye Tovuti yetu na utachukuliwa kuwa umekubali masharti ya Sera kuhusu Faragha juu ya matumizi yako ya kwanza ya Tovuti yetu kufuatia mabadiliko. Tunapendekeza uangalie ukurasa huu mara kwa mara ili upate habari mpya.

Waandishi:

 • Yote yaliyomo kwenye wavuti hii yameandikwa na timu ya HowToUseAbortionPill.org kwa kufuata viwango na itifaki kutoka Shirikisho la Kitaifa la Utoaji Mimba, Ipas, Shirika la Afya Ulimwenguni, DKT Kimataifa na carafem.
 • Shirikisho la Kitaifa la Kutoa Mimba (NAF) ni chama cha kitaalam cha watoaji mimba huko Amerika ya Kaskazini, na kiongozi katika harakati za uchaguzi. Yaliyomo kwenye HowToUseAbortionPill.org inahusiana na Miongozo ya Sera ya Kliniki ya mwaka 2020 iliyotolewa na NAF.
 • Ipas ndio shirika pekee la kimataifa linalolenga tu kupanua ufikiaji wa utoaji salama wa mimba na uzazi wa mpango. Yaliyomo kwenye HowToUseAbortionPill.org inahusiana na Sasisho za Kliniki Katika Afya ya Uzazi 2019 iliyotolewa na Ipas
 • Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) ni wakala maalum wa Umoja wa Mataifa unaohusika na afya ya umma ya kimataifa. Yaliyomo kwenye HowToUseAbortionPill.org inahusiana na Utoaji mimba salama wa mwaka 2012: mwongozo wa kiufundi na sera kwa mifumo ya afya iliyotolewa na WHO.
 • DKT International ni shirika lisilo la faida lililosajiliwa mnamo mwaka 1989 ili kuzingatia nguvu ya uuzaji katika jamii katika baadhi ya nchi kubwa zilizo na mahitaji makubwa ya uzazi wa mpango, kinga ya VVU / UKIMWI na utoaji mimba salama.
 • carafem ni mtandao wa kliniki unaotoa utalaam wa kufaa wa utoaji mimba salama na uzazi wa mpango ili watu waweze kudhibiti idadi na nafasi ya watoto wao.

Tovuti hii inaweza kuhitaji kuki zisizojulikana na huduma anuwai za mtu mwingine ili iweze kufanya kazi kunavyotakikana. Unaweza kusoma Sheria na Masharti yetu na Sera za Faragha . Ukitaka kuendelea kutumia tovuti hii, ni sharti utupe idhini ili uweze kufanya hivyo.